Tanzanian Bongo Fleva recording artist and Konde Music WorldWide Boss, Harmonize, bounces back with a new single which he named Nitaubeba.
QUOTABLE LYRICS
Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena, Sikusikii ukilia sikusikii ukisema Niko busy na boo jamani nimeshasema, Niko busy na baby na msalaba wake
Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba Na ntafika nao kiume Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha) Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa) La kwako ndo langu my darling Na ntafika nao kiume